Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Na kuna wakati yeye mwenyewe alianza kumnanga na kumpiga vijembe.Namba moja mwenyewe kitendo cha kutokemea upuuzi wa january ni dhwahiri shahiri kamgeuka!
Namba moja mwenyewe kitendo cha kutokemea upuuzi wa january ni dhwahiri shahiri kamgeuka!
Maisha yapo kasi sana!Pia aliwahi kumuita Simba wa YUDA.
Hatari sana!Na kuna wakati yeye mwenyewe alianza kumnanga na kumpiga vijembe.
Hii nchi ina maigizoMzindakaya amlilia Magufuli
View attachment 2937247
Mama akiwa Msaidizi alikubaliana na Jamaa kuhusu kushusha bei ya kuunganishiwa Umeme, lakin jamaa alivyoondoka tu Mama akasema ki uhalisia ile bei ilikua haiwezekaniki.Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.
Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki.
Kiongozi mmoja wapo aliyewahi kumpinga JPM adharani akiwa amefariki ni Januari Makamba na Baba yake. Hawa walitoka adharani nakusema viongozi wazuri hawafi, utawala wa JPM ulikuwa wa kikatili na kwamba nchi iliua diplomasia.
Tofauti na hii royal family viongozi wengine ni wakina nani?