Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini?

Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya bandia, lakini mahali pako panaweza kuchukuliwa na mtu anayejua kutumia akili bandia.

TUFURAHI AU TUPO HATIANI?
 
Nimejiuliza sana jambo hili na huko mavyuoni hali ni mbaya wanafunzi hawaumizi vichwa kwa kazi wanazopewa yaan kila mtu kuitumia hiyo program.
Nami napenda kujua zaidi na pia napenda kujifunza kwa watu ambao wanauwezo wa kuona mbele
 
Alafu ukiumiza kichwa what next..?
 
'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini?

Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya bandia, lakini mahali pako panaweza kuchukuliwa na mtu anayejua kutumia akili bandia.

TUFURAHI AU TUPO HATIANI?
Swali je kwa hapa Tanzania mahala gani panaweza kuchukuliwa....?
 
Back
Top Bottom