Wakuu naombwa kujuzwa, natakiwa kuwa na vitu gani muhimu ambavyo vitahitajiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri husika au ofisi ya shule. Hii itanisaidia kuviandaa vitu hivyo mapema na kuepusha usumbufu wa kurudi tena nyumbani ili kufuatilia na hatimaye kujikuta unapoteza nafasi yako ya ajira. Nawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mnifahamishe.
Vyeti vya shule cha form 4,6 na cha chuo pamoja na cheti cha kuzaliwa ni cha muhimu sana+Passport size
- Academic Certificates - Form 4, Form 6 kwanza - Vitahitajika ,
- Vyeti vya vyuo vitafuata baada ya kuwa vimetoka vitatumika kama viambatanisho ujazapo fomu za TSD ili kupata TSD Number.
- Passport size, andaa za kutosha maana maeneo mengine huduma za picha huwa ni shida.
- Kimsingi huwa hakuna usumbufu wowote sababu taarifa zako huwa tayari Mkurugenzi anazo.
ahsante sana mkuu, hlo la passport kwa kweli sikulifikiria kabisa. Natakiwa angalao niwe nazo ngapi?
saafi kabisa,,,,,,
- Academic Certificates - Form 4, Form 6 kwanza - Vitahitajika ,
- Vyeti vya vyuo vitafuata baada ya kuwa vimetoka vitatumika kama viambatanisho ujazapo fomu za TSD ili kupata TSD Number.
- Passport size, andaa za kutosha maana maeneo mengine huduma za picha huwa ni shida.
- Kimsingi huwa hakuna usumbufu wowote sababu taarifa zako huwa tayari Mkurugenzi anazo.
asisahau pesa kdogo ya kujikimu angalau cku 5, tafiti mifuko ya pensheni ilyobora,peleleza kwanza mahal unakoenda kabla,epuka rushwa ya ngono kwa wadada, uwe na kopi angalau 5 kwa kila cheti.
Hapo ni NMB ndio pesa hutangulia na ndio nashauri ufungue huko.
Nakushauri ukafungue CRDB maana huduma zao ni rahisi kupata na WANAPAMBANA NA FOLENI KWA SANA. Na wana huduma FAHARI HUDUMA ambayo inaunganishwa karibu na Posta zote Tz..Wakuu inakuwaje kuhusu account za benki, na ni ip ambayo ni pendekezo la serikali kwa salary. maana wengine tangu tuingiziwe boom la mwisho, na akaunti zenyewe zimeshafungiwa. kama vipi tufanye mishe mishemishe mapema, tujuzeni wakuu.
Nakushauri ukafungue CRDB maana huduma zao ni rahisi kupata na WANAPAMBANA NA FOLENI KWA SANA. Na wana huduma FAHARI HUDUMA ambayo inaunganishwa karibu na Posta zote Tz..
Umepata ajira wapi?Wakuu naombwa kujuzwa, natakiwa kuwa na vitu gani muhimu ambavyo vitahitajiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri husika au ofisi ya shule. Hii itanisaidia kuviandaa vitu hivyo mapema na kuepusha usumbufu wa kurudi tena nyumbani ili kufuatilia na hatimaye kujikuta napoteza nafasi ya ajira. Nawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mnifahamishe.