Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

Perry, holygrail na anayejiita mpigamsuli huwa nashindwa kuelewa nia yao hasa humu ndani !, hawajawahi kuwa na mchango ulio productive hata mara moja tu !, sijui malezi waliyopewa kama waliyashika vizuri maana kauli zao ni za kujifukizia laana miilini mwao !, I feel sorry for them. .
 
Last edited by a moderator:
Wadau mimi ni mwalimu wa sekondari nipo wilaya ya Ukerewe Mwanza.Nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye mikoa ya Tanga,Morogoro,Pwani na Dat es salaam.Mawasiliano ;757920263.
 
Back
Top Bottom