Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.
Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.
 
usidanganyike kwa walimu wote tanzania wanapokea salary zao kwenye benki za nmb,
 
watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.

crdb bank walishinda zabuni,na mishahara yote ya watumishi wa umma siku hizi inapitia crdb then inapelekwa nmb.
 
usidanganyike kwa walimu wote tanzania wanapokea salary zao kwenye benki za nmb,

sio kweli,ilikuwa kipindi kile cha analojia.siku hizi mambo yote crdb. Wenye akaunti nmb wanachelewa kupata salary kuanzia mwaka jana
 
Waalimu benk ya serikali ni NMB,,ndo wanayohitají account...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Usisahau shuka 2, viti3, vitanda 2, ndoo za lita 20 kama 5 hv, mwiko na suguria 3, bijiko3 nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…