DULLAH B.
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 672
- 149
four figure
pia usisahau na pamba za kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
four figure
Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.
Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.
watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.
usidanganyike kwa walimu wote tanzania wanapokea salary zao kwenye benki za nmb,
Umeibu vema mkuu, thanx sana.
waalimu benk ya serikali ni nmb,,ndo wanayohitají account...
Sent from my blackberry 9810 using jamiiforums
Bado kaka, ndo tunasubiri hiyo march 15 Excel
Excel, shkamoo mwalimu.
hivi inabidi niende na godoro PIA?
BSc. EDUCATION (Chemistry & Biology)oh! ok... ni dip ama degree ww?
BSc. EDUCATION (Chemistry & Biology)
Wee c nmekuambia tunasubiri machi fiftini?wow....! safi sana ticha @dzu!!
umepangiwa mkoani?
Wee c nmekuambia tunasubiri machi fiftini?
hahahaaa!! poa bana.. naona ushaanza hasira za kiticha!! lolz!!
Nlikuwa najaribu kupata attention ya mwanafunzi, tatizo huwenda ameanza kufikiria fimbo.
Wakuu naombwa kujuzwa, natakiwa kuwa na vitu gani muhimu ambavyo vitahitajiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri husika au ofisi ya shule. Hii itanisaidia kuviandaa vitu hivyo mapema na kuepusha usumbufu wa kurudi tena nyumbani ili kufuatilia na hatimaye kujikuta napoteza nafasi ya ajira. Nawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mnifahamishe.