aisee ulikuwa umetoa jicho km umenyimwa hela ya kuanzia maisha!? duh!
elly, nakushukuru ndugu kwa kunijuza na ikiwa kunamengine tujuze mkuu.
Usisahau shuka 2, viti3, vitanda 2, ndoo za lita 20 kama 5 hv, mwiko na suguria 3, bijiko3 nk
Kuhusu mifuko ya pensheni nakushaur ukipenda jaza lapf mfuko bora mara tatu mfululzo na wako vema na unakuwa kwa kasi na kuitia hofu pspf na kwa wadada ndo mfuko pekee wenye malipo kwa ajil ya uzazi..
ahsante mkuu. Kumbe hivi navyo vitahitajika kama details katika ofisi ya mkurugenzi. Haya ndg nitafanyia kazi ushauri wako
Inferiority Complex, jiandae kuugua huu ugonjwa pindi utakapokutana na marafiki zako uliosoma nao ambao kwa sasa wao ni Lawyers, Doctors, Engeneers, TRA officers, politicians(Leaders)....
Maadam ulichagua mwenyewe kuwa mwalimu so jiandae kuvumilia yote mkuu ikiwemo dharau, humiliation maana haya ndiyo malipo ya kusoma kozi nyepesi kwa kuogopa kukosa mkopo na ajira.
Am out.
BSc. EDUCATION (Chemistry & Biology)
mpigamsuli sentensi za unge ziko hiv, "unge...............unge".Thanx for your vision, me i'm happy of what i have choosen.Ungefaa sana kuwa DOCTOR,MFAMASIA! hivi nani anawapaga ushauri wakati wa kuchagua kozi?
Ungefaa sana kuwa DOCTOR,MFAMASIA! hivi nani anawapaga ushauri wakati wa kuchagua kozi?
teh,teh....thanx?aisee we ni dot com plus!pamba muhimu huko zitakutia moyosentensi za unge ziko hiv, "unge...............unge".Thanx for your vision, me i'm happy of what i have choosen.
usidanganyike kwa walimu wote tanzania wanapokea salary zao kwenye benki za nmb,
teh,teh....thanx?aisee we ni dot com plus!pamba muhimu huko zitakutia moyo
usidanganyike kwa walimu wote tanzania wanapokea salary zao kwenye benki za nmb,
We umeongea kweli NMB ndo mpango mzima mshara hauchelewi
OKW BOBAN SUNZU unajua jinsi ya kumuingiza twiga kwenye friji?