Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?

Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼

Vitu gani niongeze ili akute meza ipo completely kwa ajiri yake?????
 
KY Jerry na mkongo utanishukuru baadaye
 
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?

Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni[emoji3475][emoji3475][emoji3475][emoji3475]

Vitu gani niongeze ili akute meza ipo completely kwa ajiri yake?????
KY
 
Alikuwa bikra kabla sijaitoa mkuu
 
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?

Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼

Vitu gani niongeze ili akute meza ipo completely kwa ajiri yake?????
Mundende (mpanzu)
 
Back
Top Bottom