Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?

Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼

Vitu gani niongeze ili akute meza ipo completely kwa ajiri yake?????
Laptop ka mambo yetu yale
 
Hiyo rosheni ndugu,ni ya kwenda juu floor ngapi?Ila usihofu maisha ni rahisi na wakati huu wa mwanzo maisha ya wenza yanakosa uhalisia.Yanakuwa na maigizo kama ya kile chama kijani.!
 
Nunua vifaa hivi
Panga
Mkuki
Nyundo kubwa
Jembe
Sime
Bisu
Ukimuoa tuu kuwa kauzu na usiruhusu majadiliano sana ,ukiona jambo ni sahihi liamue wewe kama wewe ,hakuna meli yenye usukani mbili,chombo kimoja huendeshwa kwa nahodha mmja.kuwa na siri ,sio Kila jambo ni la kuteta na mke wako.chakula kisipungue ndani mwako ,usimruhusu kukopa sana,usimruhusu kuongozana na single mother.
 
Hahaha 😂🤣
 
Back
Top Bottom