Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

Laptop ka mambo yetu yale
 
Nawasihi watu wote wakike na wakiume wapige nyeto ili kujiepusha na hasira zisizo na maana
Unajua nyeto ni kama meditation (tahajudi).
In short punyeto ni Moja ya mazoezi ya Yoga.

Wapiga nyeto lazima waheshimiwe.
 
Hiyo rosheni ndugu,ni ya kwenda juu floor ngapi?Ila usihofu maisha ni rahisi na wakati huu wa mwanzo maisha ya wenza yanakosa uhalisia.Yanakuwa na maigizo kama ya kile chama kijani.!
 
Nunua vifaa hivi
Panga
Mkuki
Nyundo kubwa
Jembe
Sime
Bisu
Ukimuoa tuu kuwa kauzu na usiruhusu majadiliano sana ,ukiona jambo ni sahihi liamue wewe kama wewe ,hakuna meli yenye usukani mbili,chombo kimoja huendeshwa kwa nahodha mmja.kuwa na siri ,sio Kila jambo ni la kuteta na mke wako.chakula kisipungue ndani mwako ,usimruhusu kukopa sana,usimruhusu kuongozana na single mother.
 
Hahaha 😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…