Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa Wajapani?

Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa Wajapani?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Habari wanajf

Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao.

Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.

Karibuni kwa mchango.
 
Back
Top Bottom