hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Huku Japan kwema kabisa mkuu🤣Salaam.. Habari za huko Japan
Hivi kwanini wabongo wengi wanaendesha Magari mahututi? Yaan gari mtu anaendesha unasikia kabisa vyuma vinagongana ndani Ila jamaa anakomaa kukanyagia mafuta tu na hilo Gari linatoka Japan? Si unawajua SBT?Habari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao
hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.
Karibuni kwa mchango.
Upo mkoa gani hapo Japan? Au bado upo KUMAMOTOHuku Japan kwema kabisa mkuu🤣
Kumamoto nilitoka jana mkuu now nipo ChubuUpo mkoa gani hapo Japan? Au bado upo KUMAMOTO
Chubu napitaga tu nikiwa naenda KombeKumamoto nilitoka jana mkuu now nipo Chubu
Sawa mkuuMkuu, mfikishie Kenshin salamu zangu apo Kyoto
🤣Chubu napitaga tu nikiwa naenda Kombe
😀😀😀mkuu mbona tunapeana mishe mbali mbali huko huko tunakutana ubunifu wenyewe tatizo hatuthamini vya kwetuHabari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao
hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.
Karibuni kwa mchango.
Unamjua? Au unaitikia tuSawa mkuu
Mkuu nimeona niitikie tu ili maswali yasiwe mengi ila simjuiUnamjua? Au unaitikia tu
Pale Hiroshima kuna Mwanangu INAMOTO KAWASAKI ISUZU ni Diwani mpe hi sana mwmabie mwanae hapa singida sina jambo!!Mkuu nimeona niitikie tu ili maswali yasiwe mengi ila simjui