Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Aiseee
Aisee ulitumia busara sana daah...!!
 
Back in the day nikiwa bado Barobaro damu inachemka! Nikatafuta chumba cha 30k Ubungo Maji! Aisee Mama mwenye nyumba alikuwa na shape matatizo sana! Halafu alikuwa ni single mother wa watoto watatu! Wote mabinti. Yaani kiufupi nilimkula last born wake halafu nikamla na first born wake! Ila mpaka leo Last born ni mashine tata sana inasoma St. Augustine Mwanza, namba yake siwezi kuifuta. Nilianza maisha nikiwa na godoro tu ila mpaka naondoka naenda zangu Tabata madogo waliniletea mpaka bufa, mashuka, ndoo na mabeseni ya kufulia nguo. Bi Mkubwa alikuja kuzingua siku moja eti aniunganishe na mdogo wake alikuwa amemaliza college huko Dodoma; alikuwa mzuri ila niliogopa kugonganisha magari! Warangi Warangi Warangi, nyie mna nafasi yenu ya pekee mitaa ya Mbinguni aisee! Yaani kama kichwa cha chini hakina maamuzi aisee unaweza kutembeza moto kaya nzima. Yule mdogo wake na mother housee alihamia hapo hapo, hivyo nikawa nikitoka zangu mishe mishe natulia Mwenge mpaka mida ya saa 4 ndo narudi home halafu saa 12 alfariji nimeshaondoka. Nisingejiongeza ningemtafuna na yeye nikavuruga mambo.
Ila kwa sasa nimeokoka nampenda Yesu!​
 
Mwenye Nyumba kujitoa ufahamu wa kudai Kodi kabla ya muda wake, kutokushughulikia changamoto kwa wakati muafaka.
 
Natafuta chumba cha 30k mkuu hapo ubungo maji kwa maza house
 
Njoo bff ntawafungia bana 😂😂😂
Nafeel raha unavyowaelezea hao mbwa wako ,ninao wawili mmoja kagoma kuwa mkali kabisa kawa mbwa wa pambo nyumbani Ila mmoja ni mkali sana kiasi Cha Mimi kumfungia kila muda ,Ila napenda vile yananipanda ,Mara yamuonee wivu sana paka wangu yatake kumlalua Mara yapige kelele bila sababu kisa nipo ndani sijatoka .
Lakini zaidi napenda vile nikinywa flying fish wananiangalia kwa huruma basi nawamiminia nne nao wanywe kwa kuchanganya na nyama basi yatabweka siku nzima mtaa mzima utazizima kwa kelele za hawa wanangu watu waijue nimewalewesha sana .
 
Mbwa km binadamu wana huruma, wana upendo. Sema ina wivu ikiona nimekuja na mgeni wa kiume home lazima imchangamshe 😂😂😂😂
Na nawaambia ifungulieni nakuja na mgeni ili nione litakavyokimbia bila kufukuzwa.!!
 
Hao mngewainamisha walikuwa wanawashwa nyuma kwao.
Mmekosea sana kuhama bila kuwapelekea moto.
 
Boss hiko chakula cha kuku cha waching wanauza wapi
 
Nilichogundua hizi nyumba za kupanga usiwe mtu wa socialize sana..

Be strictly na mambo yako.
Acha mazoea ya ajabu na wapangaji ila kuwa na mawasiliano mazuri..

Kuhusu mambo ya mizagamuo tafuta pisi yako moja kali hiyo hiyo ndo ya kukaa nayo au hata kama anakuja weeknd to weeknd basi awe huyo huyo mmoja tu.

Kijana mwenzangu Jifunze kulinganisha thamani ya maisha yako na raha unayo ipata kwa mda mfupi

Se.x is overrated play safe kama kijana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha..
Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya
 
Hamna iko Mwanza kwa mama mmoja muhaya
Aaha ok mkuu.. Mimi ilikuwa kama huyo mama ila Ni mzee picha linaanza kila mwisho wa mwezi elfu 15 umeme.. elfu 10 usafii ni bora ucheleweshe kodi ila usipotoa hizo hela anakuzingua balaa. Hakuma kuleta mgeni alafu alaleee na akija demu wako lazima umtambulishe kwa mwenye nyumba la mwisho KITIMOTO MARUFUKU aisee kodi ya miezi 6 hata miezi 3 sikufikaaa maana ule ufalaa nisingeweza nikasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…