Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele 🤣🤣🤣
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq 🤣🤣🤣🤣
Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.