Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Mimi na wasela wenzangu enzi hizo tuko form six, katika kujiandaa tukaona ni vyema tupange chumba ili tuweke Kambi ya masomo.

Usiku mmoja nikashtuka usingizini, tukamuona baba mwenye nyumba na mkewe na watoto wako uchi wa mnyama wanaizunguka nyumba.

Nikawaamsha wenzangu. Chumbani kuna Giza hatujawasha taa hivyo tunawaona kwa uzuri sana.

Baada ya wiki tu tukahama. Walikuwa Wana roho nzuri sana utadhani watu kumbe ni mashetani
Walikuwa wanaweka zindiko la kuzuia wachawi, ungeangalia vizuri ungemuona mganga
 
Aah sasa we ukutane na mama mwenye nyumba yuko msela poa tu si mnakula mipango.
Hela ya msosi ipo kwake mi bachelar tu miaka hiyo,
Ye mwenyewe sa ingine anakula microfone check.
Yaani pale hata mke nilikua sitaki.
Lunch naletewa mapema tu
Usiku narudi nshakula ,namtoa ya siku nalala.
Maskini mama wa watu
Simjui nilipanga tu.
Mama anakuuliza Baba leo utakula nini?
Ninachotaja mchana sinia hili hapa.
atahakikisha kakaa pale pembeni mpk nile nishibe.
Namkumbuka sana huyu mama maskini.
Hatujaonana tena miaka mingi sana
 
Nyumba za kupanga zina vimbwanga sana. Sitazungumzia zote ila za kusisimua tu.

#1. Mwenye nyumba alikuwa mjane wa kichaga. Complainer anakaa on the other side of the road. Kiufupi nilipanga chumba 4 months ila sikuishi pale nikawa nalala kwa manzi yangu. Kuna siku mwanangu mmoja kaja kwa ajili ya kuvaa joho nikampa key akalale pale maana palikuwa free tu. Maza kusikia hilo alikuja kunidai hela eti sababu jamaa alitumia choo na bafu lake kwa siku tatu alizokaa. Nililipa buku 20 ila mkataba ulipoisha tu nikaendelea kulipa kule alikokuwa manz yangu. Napo tabu ilianza maana mama mwenye nyumba alikuwa mdada nesi flani ila akawa ananichukia toka siku nimetambulishwa kwake. Baadae vikaanza vituko mjengoni mabati kulia lia usiku ndoto za ajabu nikahamaga pale.

#2. Nilipanga fully fledged apartment kwa ajili ya kuanza practice ya kuishi kifamilia. Ile nyumba ilikuwa ni mpya kabisa hajawahi ingia mtu ziko nyumba kama 7 kwenye compound ya Don mmoja. Nyumba ilikuwa kali sana yani ila tatizo likaja a few month later. Nilikuwa napata misisimko ya mwili na nywele hivi ukikaa sebleni kwenye kochi unaskia sauti kama za mvumo wa upepo. Kama ushaangalia movie za kinaijeria scene za kichawi kuna sauti flani wanawekaga ile. Saa zingine unahisi kama watu wanatembea hivi unaskia vishindo tu na kuona vivuli vinapita. Nilikuwa naishi na manzi yangu ila ni kipindi ambacho tulikuwa na ugomvi usioelezeka. Mnaweza toka mihangaikoni freshi tu ila mkifika tu pale ndani ugomvi unapotokea hata haijulikani, yani alikuwa na visirani vya hatari. Niliishi pale miezi 10 maji yalipozidi unga nilidai kodi yangu ya miezi miwili iliobaki nikahama na ule mkoa kabisa.

#3 Nilianza life upya bongo baada ya upepo wa Covid kuniramba nikajiegesha Migomigo kwenye kibanda kimoja cha urithi wa watoto flani wa kizaramo. Balaa likaja kodi inagombaniwa kama mpira wa kona. Baba yao alizaa na wake tofauti hivyo kila mtoto akajiona ana haki na mama yake wale kodi. Waligawana vyumba wakawa wanagawana kodi tu😂 mara wazurumiane kesi zikawa haziishi kwa mjumbe. Majirani nao watu wa kushinda vibarazani ni husda, umbeya na uzandiki ondoka usemwe. Mbaya zaidi nilikuwa nimepaki mkweche wangu mbele ya nyumba basi ile tofauti ya lifestyle ikawa naonekana naringa kisa nina chombo uwani na naenda kazini daily na kurudi jioni. Umeme nao ulikuwa uduwanzi staki hata kuelezea. Nikaseti mipango ya kuvuta "stove" ilipokamilika tu nikahama kabisa pale.

#4. Kero hazikosekani ila walahu siishi na waswahili tena😁 na mipango ni kuwa nikitoka hapa nihamie kwangu kabisa. Mstaafu anasumbuaga mapema kabla ya muda wa kodi kufika ila namlipa in advance ili mimi niwe namdai miezi ndio imekuwa solution. Nimegundua pia mkewe ni mbegu ya kikwere hujifanyaga social sana ila ana ki jealous cha kipuuzi kila nikifanya mambo ya maendeleo nimekata mazoea nao sahizi.
 
Aah sasa we ukutane na mama mwenye nyumba yuko msela poa tu si mnakula mipango.
Hela ya msosi ipo kwake mi bachelar tu miaka hiyo,
Ye mwenyewe sa ingine anakula microfone check.
Yaani pale hata mke nilikua sitaki.
Lunch naletewa mapema tu
Usiku narudi nshakula ,namtoa ya siku nalala.
Maskini mama wa watu
Simjui nilipanga tu.
Mama anakuuliza Baba leo utakula nini?
Ninachotaja mchana sinia hili hapa.
atahakikisha kakaa pale pembeni mpk nile nishibe.
Namkumbuka sana huyu mama maskini.
Hatujaonana tena miaka mingi sana
Kwahiyo unampiga kende Landlord wako
 
Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele 🤣🤣🤣
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq 🤣🤣🤣🤣

Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
Duh unaamka asubuhi unakuta umevuliwa kipensi!!! Hapo kama ulikuwa hujanyoa nahisi ulijisikia aibu sana baada ya jamaa aliyekuvua kipensi usiku kuona hazina kuu ya Taifa ina nywele kama zote
 
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.

Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua kutoka kwenye machogo.

Basi yule mama akawa anataka muda wote aje ashinde ghetto kwangu, anavaa nguo very light.

Kuna siku jumamosi nimemaliza kufua, nikasema Leo nijilipie, nikachukua Konyagi kubwa, nikawa na Dodoma wine, kwenye oven kilo mbili za kitimoto zinaokwa taratibu. Mara ghafla mlango unagongwa huku mtu akiingia ndani bila kukaribishwa.

Nilikuwa Niko na boksa tu sikuwa natarajia mgeni, akaniudhi sana. Nikakimbilia taulo, akanifuata akanivua taulo. Nikasimama wima hasira Imenijaa.

Akaanza kujiliza ohh Mimi nakupenda siku zote, wewe unajidai huoni.

Nikamkaripia nikamwambia anikome. Baada ya hapo alianza chuki na visa, nilikaa miezi minne tu nikahama.
Wakati wa Tendo takatifu anakuja kudai kodi kwa mume wangu, kipindi tukiwa vijana Pale kinondoni Moscow.
 
Aah sasa we ukutane na mama mwenye nyumba yuko msela poa tu si mnakula mipango.
Hela ya msosi ipo kwake mi bachelar tu miaka hiyo,
Ye mwenyewe sa ingine anakula microfone check.
Yaani pale hata mke nilikua sitaki.
Lunch naletewa mapema tu
Usiku narudi nshakula ,namtoa ya siku nalala.
Maskini mama wa watu
Simjui nilipanga tu.
Mama anakuuliza Baba leo utakula nini?
Ninachotaja mchana sinia hili hapa.
atahakikisha kakaa pale pembeni mpk nile nishibe.
Namkumbuka sana huyu mama maskini.
Hatujaonana tena miaka mingi sana
Unemla sana aisee
 
Unemla sana aisee
Sijawai aisee,ila nilikua naenjoy sana nikiwa nae.
Ni mmaza alikua ananijali sana na hanifuatilii.
Kazi zangu usiku
Nikirudi asubuhi kaniwekea vitumbua na chai ya maziwa.
Nikiuliza mchana vp.
Ananipa bajeti nzima.
Haizidi 10,000.
Sa ingine ananipa buku tano kupunguza gharama namwambia kausha tu.
Familia yake ilikua kubwa sana,mitoto mivibaka
Inazaa inamletea watoto na yenyewe yanakaa humohumo.
So nafkiri mmaza alikua anakuja gheto kutuliza moto tu
Hatukuwai kunyanduana,ila mapenzi km yote.
 
Back
Top Bottom