Is that for pleasure or a necessity for reproduction?That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Mkuu wanyama ambao hufanya ngono kama starehe ni Binadamu, na pombooYuko sahihi japo watu wa wildlife wanasema na nyani pia. Mbwa ni for reproduction only, na ndio maana hapandwi akiwa hayuko kwenye heat, mbuzi halikadhali.