Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

Ina maana jogoo anavyomkimbiza kuku jike mtaa mzima....ni kwa ajili ya kuzaliana tu....
Mimi nakataa
Lazima kuna kitu kinamnyevua tu na sio kingine bali ni genye.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona nyani dume hupiga punyeto? kwani punyeto lengo ni kuzaliana? Ishu ni kwamba viumbe vingine havina utashi wa kuvutiana nyege, hivyo husuburi majike wawe on-heat ili wapate raha. Ingekuwa ishu ni kutimiza wajibu wa kuzaliana basi madume ya ng'ombe, mbwa, majogoo wasinge pigana kisa majike. Mwisho wa siku wote wanapata starehe.
 
Most animals will only have sex "mate" during certain times of the year. When the female is in season and the usual out come is offspring.
Dolphins mate all year round at any time and not just to reproduce, so the deduction would be that this is done for fun.

The same way we know that apart for humans and apes dolphins and elephants are the only species that recognise themselves in a mirror.

Also apart from humans and their distant cousins,dolphins and elephants are the only animals that have their breasts between their front legs.

Fun Trivia Quizzes - World's Largest Trivia and Quiz Site!

Hii mpya kwangu, asante mkuu
 
Si kweli kwamba ni binadamu na Dolphins tu ndio wanafanya 'sex' for fun...Masokwe aina ya Bonobo wa misitu ya Congo hutumia sex kama njia mojawapo ya kubond kifamilia na between families, ni moja kati ya wanyama ambao wanafanya sex mara nyingi sana kwa siku duniani. Nguruwe hufanya sex kwa starehe pia, hata ukiweka madume watupu wa Nguruwe basi watageuzana (lawitiana) kwa zamu...Nguruwe na Sokwe Bonobo ni kati ya wanyama ambao wameonyesha mahusiano ya jinsia moja (homosexual) kwa madume.
Hiyo mpya, tena kali, haya tena...
 
Nimepata darsa kubwa. Ila kwa Binadamu wa kike akiwa kwny Ovulation huwa na Nyege sana ndio sababu naamini Mtu yoyote anaedai kubakwa na kusababishwa Mimba hata nae alikuwa na Nyege nyingi na za kutosha hivyo Zoezi la Ubakaji huwa na idhini kwa kiwango fulani.
 
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?
Kwanini hujamuuliza huyo alokwambia ili utupe shule?
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Wewe mbwa wanapandana wakati wa kuzaa tu.. ndo maana majira yakifika kwa jike kunajaa madume kibao
 
Nilikua najua ni binaadamu tu lakini dolphin sijasikia
 
Yani c kwamba viumbe hivi vingine havipati utamu, la hasha.. bali haviwezi kupandana bila ya jike kuwa kwenye hedhi..
binadamu na dolphin wanapanda anytime.. ngombe akinusa akiona mzigo haupo siku zake basi hapigi hata awe na migenye kiasi gani
 
kuna mnyama anaitwa kicheche naskia anasex kwa kupata raha na anafanya mara nyingi
 
Yuko sahihi japo watu wa wildlife wanasema na nyani pia. Mbwa ni for reproduction only, na ndio maana hapandwi akiwa hayuko kwenye heat, mbuzi halikadhali.
Nakubaliana na wewe 100%, huwa nafatilia sana wildlife, nyani hasa Sokwe hufanya mapenzi kwa starehe, na wanakatika kweli kweli.
 
Back
Top Bottom