Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

Ni kweli kabisa. Dolphin na Binadamu ndio wanafanya mapenzi kwa kwa ajili ya reproducion na starehe. Hawa wenine wote no matter the frequency of mating is for reproduction
Mie nimesikia ni Nungunungu na biadamu tu. Hii ya Dolphin, nyani ni magumashi.
 
Kuku, especially jogoo wanafanya kwa starehe!
 
Most animals will only have sex "mate" during certain times of the year. When the female is in season and the usual out come is offspring.
Dolphins mate all year round at any time and not just to reproduce, so the deduction would be that this is done for fun.

The same way we know that apart for humans and apes dolphins and elephants are the only species that recognise themselves in a mirror.

Also apart from humans and their distant cousins,dolphins and elephants are the only animals that have their breasts between their front legs.

Fun Trivia Quizzes - World's Largest Trivia and Quiz Site!
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
To them, on heat means ready for reproduction. But for human on heat means they are ready for reproduction if yale manjia ya uzazi wa mpango hayatumiki otherwisen ni starehe tu
 
That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.

Ndio reproduction yenyewe hiyo,kwani ushawaona dog wakifanya mapenzi kama hawapo kwenye hit?
 
maelezo yana ukweli ndani yake! dolphins wana uwezo mkubwa sana kiakili kuweza kugundua images zao kwenye kioo!
 
Hahaha u can imagine
Hapa namkumbuka Lokissa anavyokipenda hiki kitoweo. Ila nimefanya uchunguzi wa kina kuhusu huyu jamaa, na outcome ni:
1. Nguruwe ndiye mnyama anayeongoza kwa kukosa uvumilivu hasa akiwa kwenye heat kuliko mbwa.
2. Anaona "siku zake" (ana-bleed) mara moja kwa mwezi kama mwanadamu.
3. Nyama yake ukiiweka juu ya jani la mgomba au juu ya kitu chochote na kuimwagia mafuta ya taa, baada ya nusu saa wanatoka funza, na unawaona wakitembea....
4. Nyama yake hata uipike kwa moto gani haiivi moja kwa moja....hivyo sehemu kubwa nyama yake huliwa ikiwa haijaiva vizuri
5. Baada ya kufanya mapenzi na kufika kileleni ana uwezo wa kubakia juu ya mwenzake kwa dakika 30 na pengine hata kusinzia kwa muda
6. Anakula kila kitu isipokuwa malimao ,ndimu na vitunguu tu
7. Nyama yake inapendwa sana na wala mlaji akiila kwa mara ya kwanza wala hafikirii kuiacha (Muulizeni Lokissa)...(Sio Dr. Lokissa, yule wa UDSM kitengo cha uchumi-Hapana, ni huyu mdau mwenzetu humu jamvini.)
 
Heh hiyo ya kuona siku kiboko sikuijua ya funza imenisismua mh
 
Ni kweli babe S, ni ukweli mtupu. Unajua mtu anaweza fikiri huu ni uongo lakini huwezi wadanganya wana JF 1,000,000.Na kuna wengine humu hii mifugo wanayo hivyo wanaijua vyema.
Heh hiyo ya kuona siku kiboko sikuijua ya funza imenisismua mh
 
hapa namkumbuka lokissa anavyokipenda hiki kitoweo. Ila nimefanya uchunguzi wa kina kuhusu huyu jamaa, na outcome ni:
1. Nguruwe ndiye mnyama anayeongoza kwa kukosa uvumilivu hasa akiwa kwenye heat kuliko mbwa.
2. Anaona "siku zake" (ana-bleed) mara moja kwa mwezi kama mwanadamu.
3. Nyama yake ukiiweka juu ya jani la mgomba au juu ya kitu chochote na kuimwagia mafuta ya taa, baada ya nusu saa wanatoka funza, na unawaona wakitembea....
4. Nyama yake hata uipike kwa moto gani haiivi moja kwa moja....hivyo sehemu kubwa nyama yake huliwa ikiwa haijaiva vizuri
5. Baada ya kufanya mapenzi na kufika kileleni ana uwezo wa kubakia juu ya mwenzake kwa dakika 30 na pengine hata kusinzia kwa muda
6. Anakula kila kitu isipokuwa malimao ,ndimu na vitunguu tu
7. Nyama yake inapendwa sana na wala mlaji akiila kwa mara ya kwanza wala hafikirii kuiacha (muulizeni lokissa)...(sio dr. Lokissa, yule wa udsm kitengo cha uchumi-hapana, ni huyu mdau mwenzetu humu jamvini.)

then kwa utafiti huu stil watu bado wanaendelea kumla??
Kweli kipenda roho..
 
umetoka nje ya hoja,full mapovu hata ueleweki!!!!!nini hoja yako?nyama ya nguruwe?heat period ya nguruwe au?mnyukano wa kizota unakusumbua!!!
 
Back
Top Bottom