Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

Jitoe out bana kula/ fanya kitu roho inapenda.

Mapenzi ya kujitesa na mawazo yalipitwa na wakati.

Binafsi cheese loaded fries with jalapenos augers well, huge chocolate bar and some club bangers za Nigeria do me so good.

Not to mention hapo most definitely nimeshaenda shopping so I have new clothes on, new hairstyle and almost always new sneakers. Hunikuti na chozi ng'o. *****.
After that's, go to period
(Feel pains) then back to hot( feel horny n miss mshakaji).


Bilabila though t help
 
Says who?

It is okay to miss what you too had. Very natural.

But you need to love yourself more, to choose your own happiness over some else's.
100% agreed.


But after true love,always selfish comes next ( other call self love)
 
😎
 

Attachments

  • 61cccf384d684f7f8e8f3e2fa39ccc56_1600078141164.jpg
    61cccf384d684f7f8e8f3e2fa39ccc56_1600078141164.jpg
    25.3 KB · Views: 1
Pata juice laini, yai la kukaanga, mboga za majani kidogo parachichi na nyama
 
Ni chai na silesi ndio vinapita,chakula kigumu akimezekii,Pia chai ipoe maana ikiwa ya moyo inainguza Moyo.
 
Ugali dagaa Mkuu na mchicha chuku chuku 🤣🤣
Poleni na majukumu wadau,

Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula

Unaeza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile

Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano adi unatamani dunia nzima ijue kua uko in love na unaenjoy. Sasa kuna kile kipindi cha maumivu,mateso hapa ni baada ya kuachwa wenye mioyo midogo walokosa wakuwafariji huwa wanaishia kujiua, hichi kipindi unaeza ona dunia imekutenga maana ata chakula hua hakipiti

Nina iman wengi tumepitia kipindi hichi huezi sema ulikua huli kabisa ila kuna vyakula flani automatic huwa havipit kooni, share na mi we ulivokutana na situation kama hii ulikua unakula chakula gani hasa?

Hujawahi kupenda kama hujawahi kulia
 
Back
Top Bottom