Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
After that's, go to periodJitoe out bana kula/ fanya kitu roho inapenda.
Mapenzi ya kujitesa na mawazo yalipitwa na wakati.
Binafsi cheese loaded fries with jalapenos augers well, huge chocolate bar and some club bangers za Nigeria do me so good.
Not to mention hapo most definitely nimeshaenda shopping so I have new clothes on, new hairstyle and almost always new sneakers. Hunikuti na chozi ng'o. *****.
Says who?After that's, go to period
(Feel pains) then back to hot( feel horny n miss mshakaji).
Bilabila though t help
100% agreed.Says who?
It is okay to miss what you too had. Very natural.
But you need to love yourself more, to choose your own happiness over some else's.
Choosing to love yourself is not selfish at all as long as you are not mistreating someone else.100% agreed.
But after true love,always selfish comes next ( other call self love)
Unaanza ku plan ku fail tena?Marry goreth ??? Nilimtoaga bikra palepale kwa dadake aliyekuwa anasomea u-sister.(utawa). Nilikuwa natoka chuo narud likizo (2009)
Vipi mkuu!Wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti kuunguza moyo!Ni chai na silesi ndio vinapita,chakula kigumu akimezekii,Pia chai ipoe maana ikiwa ya moyo inainguza Moyo.
Vibichi, vilivyopikwa, vilivyokaangwa au vya kuchoma?Karanga na mihogo mkuu.
Poleni na majukumu wadau,
Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula
Unaeza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile
Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano adi unatamani dunia nzima ijue kua uko in love na unaenjoy. Sasa kuna kile kipindi cha maumivu,mateso hapa ni baada ya kuachwa wenye mioyo midogo walokosa wakuwafariji huwa wanaishia kujiua, hichi kipindi unaeza ona dunia imekutenga maana ata chakula hua hakipiti
Nina iman wengi tumepitia kipindi hichi huezi sema ulikua huli kabisa ila kuna vyakula flani automatic huwa havipit kooni, share na mi we ulivokutana na situation kama hii ulikua unakula chakula gani hasa?
Hujawahi kupenda kama hujawahi kulia
[emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo vinaweza kukukaba roho ukafa bure!Ugali dagaa Mkuu na mchicha chuku chuku [emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa home dear, kwani wewe uko wapi?Ulikua wapi sikuoni
[emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo vinaweza kukukaba roho ukafa bure!
[emoji1787]Ukila hivyo utaugulia maumivu ya mapenzi mieka kenda!Nilisahau na gudulia la maji ya kushushia [emoji23][emoji23]
[emoji1787]Ukila hivyo utaugulia maumivu ya mapenzi mieka kenda!