Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
ahhahaNgoja ni subscribe
hahahahahahJamaa anawaza mapaja muda wote
okay sawa mkuuJiwekee utaratibu wa kutafuna miwa kwa wingi we mwenyewe utashangaa sana.
-Ndumilakuwili-
hhahahahaha okayMzee naona ushapiga unaona kitumbo hakijai tuu ukajihisi shahawa zako nyepesi, sasa tafuna mihogo, Nazi, juisi ya tende na maziwa , epuka chips yai izo boss.
G.Don-Master.
mmmmmmmh okJuic ya tende mkuu,na maziwa fresh tu kila siku jion au asubuhi ni balaa.hilo bomu
duuuuuh utaniuwa mzeeeHakikisha unapata mayai 2 ya bundi kwa siku 7, huku ukishushia na juice ya mwarobaini. Ukimaliza siku saba ulete mrejesho hapa.
nashukuru bossKula Katanga,samaki wenye minofu,bamia,nyanyachungu,ugali dona,maziwa etc kwajumla kula protein nyingi kuliko wanga pia kabla ya show uwe umeshiba siyo unashindia maji tu ila Karanga nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu1 Kula Nazi (ina mafuta na protini)
2Mbegu za maboga (ina mafuta na protine )
3Miyogo mibichi (ina wanga hivyo itakutia afya na nguvu )
4Karanga mbichi (zina mafuta na protini) hapo ukipata zile karanga nyekundu zenye punje ndogo usichukuwe punge kubwa zinakinaisha
5 matunda ya ndiz mbivu na parachichi ni mazuri zaid
Ukiangalia mbegu zote zina mafuta na protini zinasaidia sana ktk uzalishaji wa seli na kusisimuwa na kukuza misuli ya mwili
Tukumbuke katika shahawa na manii kuna kiwango kikubwa cha protini hivyo basi ubora na wingi wake utategemeana sana na ulaji wako wa vyakula vya protini , wanga na vyenye glukosi
Ebu jalibu kula hivyo au baadhi kwa siku tatu mpaka wiki kisha kajitasmini
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mdau.....Mihogo, magimbi, tikiti maji na mbegu zake, mbegu za matango zilizokaangwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakikisha unapata mayai 2 ya bundi kwa siku 7, huku ukishushia na juice ya mwarobaini. Ukimaliza siku saba ulete mrejesho hapa.
Unaishi Daslam....[emoji47] [emoji47] [emoji47]Sitaelezea zaidi hapo wadau mwenye jibu naomba majibu ili niongeze madini kichwani.....