Ni vyakula gani vinaongeza shawaha haraka na husaidia sperms ziwe zimekomaa?

Ni vyakula gani vinaongeza shawaha haraka na husaidia sperms ziwe zimekomaa?

1 Kula Nazi (ina mafuta na protini)

2Mbegu za maboga (ina mafuta na protine )

3Miyogo mibichi (ina wanga hivyo itakutia afya na nguvu )

4Karanga mbichi (zina mafuta na protini) hapo ukipata zile karanga nyekundu zenye punje ndogo usichukuwe punge kubwa zinakinaisha

5 matunda ya ndiz mbivu na parachichi ni mazuri zaid

Ukiangalia mbegu zote zina mafuta na protini zinasaidia sana ktk uzalishaji wa seli na kusisimuwa na kukuza misuli ya mwili
Tukumbuke katika shahawa na manii kuna kiwango kikubwa cha protini hivyo basi ubora na wingi wake utategemeana sana na ulaji wako wa vyakula vya protini , wanga na vyenye glukosi

Ebu jalibu kula hivyo au baadhi kwa siku tatu mpaka wiki kisha kajitasmini

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu
 
Mbegu za maboga + mlonge ni suluhisho la tatizo lako.
 
Back
Top Bottom