emt45
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 564
- 644
Kwa kumsaidia ale mbegu za maboga maana zina zinc ,protein na fats za kutosha , na ndizi mbivuZinc madin ambayo ni kiungo muhim sana kwenye eneo hilo,kwahyo kula vyakula vyenye zinc nyingi,.google vyakula vyenye zinc nying ule,.
Sent using Jamii Forums mobile app