Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanganyika hadi imebadilika Tanzania !

Amezaliwa kaikuta nchi ina hospitali,reli madaraja na vingine vingi....

Na hata ameondoka ameviacha na wapo watakuja wengi zaidi yake hii ndio law of nature...

MATAGA mlianza kwenye Denial Stage baada ya msiba mtaenda Pain and Guilt mtaingia bargaining , depression mwisho mtamalizia na acceptance!

Yataka moyo vumilieni tu upepo ndio ushabadilika , mrija wa posho za buku 7 Lumumba umekatwa aliyeingia hapendi misifa yatima mnatupiwa virago nje ya nyumba ya urithi mkajitafutie maisha mapya ! poleni MATAGA
 
Bor

Rais akifariki jaji Mkuu aongoze nchi ndani ya siku 30 kisha uchaguzi uitishwe.
... siku 30 ni chache mno kuitisha uchaguzi. By the way utakuwa uchaguzi wa hadi wabunge na madiwani au wa rais peke yake?
 
Hii kitu imekaa vizuri sana kwa akili yangu makamu ashike nchi ,hakuna rais mkamilifu awe Chadema au CCM halafu sisi tuvuje jasho kulipa kodi ili uchaguzi urudiwe for what kwa MF...siasa nayo ni kazi Na biashara kama zingine zilivyo..kutorudia pia kunaleta utulivu.
 
Kwa nini iwe chini ya jeshi na siyo jaji mkuu, hizi bange huwa mnavutia wapi?
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy [emoji24][emoji24][emoji24]
Uaji limesepa. Mtuache na Mama yetu.
 
Raia
Usiombe Nchi kutawaliwa na kitu kinachoitwa Jeshi hata kwa Sekunde Moja,Ni majanga.
Jeshi hawakutrainiwa kutawala raia,kila siku utashuhudia watu wakishutiwa hadharani.
Raia hawezi kupokea amri za kijeshi,na Jeshi haliko tayari kudharauliwa na raia mwisho wake Ni Shaba tu.
Jeshi kwao hakuna Siasa ni amri tu.

KimsingiTaasisi iliyofundishwa kudili na raia Ni Polisi sio Jeshi.
Na bahati mbaya Jeshi linadharau hata Polisi.
Jeshi linawaita Polisi Ni Raia wenye unifomu.
Raia wakakamavu
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy [emoji24][emoji24][emoji24]
Dadii ya nyo.k.o nenda kamfufue huyo dadi mbona alivomkabidhi mwinyi mlishangilia acheni akili za utoko nyie msio mpenda mama acheni mama aongoze nchi ipasavyo
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy [emoji24][emoji24][emoji24]
Hujui hilo jengo alilijenga JPM??

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na mama, hao waliopita walichaguliwa mbona bado mbona Mambo bado yalienda mrama.

Wewe ni mdini , mkabila na unaendekeza mfumo dume tatizo lako linaazia hapa. Huwezi on lolote jema la kiongozi mpaka ushabihiiane nae vinasaba vya dini, kabila na jinsia shame on you!
 
Mliokuwa wafuasi wa JPM(kama mimi) acheni wenge. He is gone. Hatorudi kamwe. Na samia ndio Rais. Jifunzeni kumuheshimu, aligombea na kupigiwa kura, urais wake sio wa hisani.

Usijitoe ufahamu, mradi wa ujenzi wa nyumba za marais ni takwa la kisheria na jpm ndio muasisi.
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy 😭😭😭
Nchi ina furaha sana tangia Meko aondoke jumla..hahahahahahaha.
 
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya

Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja wazito..waziri Wa sheria njoo hapa, Waziri wa Afya njoo hapa .. Tunasaini hapa hapa tunamalizana "

Miss you Daddy 😭😭😭
Na bado mtanyooka tu, shubaaamiiit tunafanya revolution hamtaki hameni NCHI, OVER!!
 
Back
Top Bottom