Hold on
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 482
- 1,126
Good night
Kuna baadhi ya member humu mnatukana watu vibaya mno ukija kufwatilia Pole pole unakuta mtu anae kutukana au anae mtukana mwezie ni wakumuonea huruma sana hajui pesa inavyo tafutwa wembe tu wa kunyolea kwapa anaomba kwa mama au anasubiri atumwe dukani abanie chenji ndio asafishe kwapa
Nivyema kuwa na busara kuliko kutumia lugha chafu hasa wanachuo humu wanachuo ndio wanaongoza kwa matusi vyuo vikifungwa jf inakuwa uwanja wa vita mtu ana amka jf ana lala jf