Kazi zinatafutwa, sidhani kama kutukana siku nzima kutawafanya wapate hizo kaziNi Bora muwasaidie kazi wafanye
Hasa wale jamaa wanaotetea DP WORLDNivyema kuwa na busara kuliko kutumia lugha chafu hasa wanachuo humu wanachuo ndio wanaongoza kwa matusi vyuo vikifungwa jf inakuwa uwanja wa vita mtu ana amka jf ana lala jf
Mbaya zaidi matusi ya kuandika hayafutiki kabisa. Yatawafuata watukanaji ata siku wanakufa kama vile matendo mema yanavyowafuata watu wema.Good night
Kuna baadhi ya member humu mnatukana watu vibaya mno ukija kufwatilia Pole pole unakuta mtu anae kutukana au anae mtukana mwezie ni wakumuonea huruma sana hajui pesa inavyo tafutwa wembe tu wa kunyolea kwapa anaomba kwa mama au anasubiri atumwe dukani abanie chenji ndio asafishe kwapa
Nivyema kuwa na busara kuliko kutumia lugha chafu hasa wanachuo humu wanachuo ndio wanaongoza kwa matusi vyuo vikifungwa jf inakuwa uwanja wa vita mtu ana amka jf ana lala jf
Hapana, nasali Sala ya usiku namshukuru Mungu wangu nilale, akipenda aniamshe salamaWataje
Tatizo wanasoma sana motivation speaker , Maisha hayaitaji hasira 🥴Si wamejikatia tamaa kabisa
wanachuo sio wote tuko hivo😂Nakuruhusu urekebishe