Ni vyema kuwa na busara kuliko kutumia lugha chafu

Mkuu umetuingiza na wengine tunaolipia store zetu 😁😁

Matusi na kipato cha mtu havihusiani ila ni tabia ya mtu tu. Kuna watu wana maisha lakini wana lugha chafu na kuna wengine kama kina sisi, maisha ya kawaida Ila lugha ya matusi hatujaizoea
 
Usiku mwema
 
nadhani imefikia kutumia matusi kwasababu watu hawasikii, na hawana mpango wa kurudi nyuma. huu mkataba utawatafuna hadi uchaguzi upite na maisha yao yooote watatafunwa na huu mkataba. utawanyima usingizi na siku watanganyika wakiamka, hao waliouza nchi yetu pamoja na watoto wao watatafutwa mtaa kwa mtaa na kunyang'anywa mali, hata kama watakuwa wamekimbilia nchini kwao zanzibar.
 
Ngoja nitengeneze ID niite

1.SSH
2.J.K
3Nape
4.Zito
5.Mwigulu
7.Tulia
8.Ridhiwani
Sijui ipi nitatukanwa sana
 
Ukitupa jiwe gizani na ukisikia mtu analia ujue jiwe limempata. Pole sana
 
Mara nyingi mtu akianza lugha mbaya naangalia jf kaingia mwaka gani, nikiona kaingia kitambo najua huyu mkubwa wangu nachuna tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…