Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jul 24, 2023 #41 Planett said: kuna watu wanajua kutukana kama wana CHADEMA? hili kundi kwa matusi na makasiriko ni next level yaani muda wote kama wapo kwenye mwezi mchanga Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Af Leo hakuna kelele jukwaani mkutano wao ja a ulidoda
Planett said: kuna watu wanajua kutukana kama wana CHADEMA? hili kundi kwa matusi na makasiriko ni next level yaani muda wote kama wapo kwenye mwezi mchanga Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Af Leo hakuna kelele jukwaani mkutano wao ja a ulidoda
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jul 24, 2023 #42 saleni said: Mara nyingi mtu akianza lugha mbaya naangalia jf kaingia mwaka gani, nikiona kaingia kitambo najua huyu mkubwa wangu nachuna tu. Click to expand... Ahhha kuna wengine wameingia jf muda sana ila ni watoto
saleni said: Mara nyingi mtu akianza lugha mbaya naangalia jf kaingia mwaka gani, nikiona kaingia kitambo najua huyu mkubwa wangu nachuna tu. Click to expand... Ahhha kuna wengine wameingia jf muda sana ila ni watoto
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jul 24, 2023 #43 Dkisaka said: NAKAZIA, majobless na waalimu wanongoza Kwa hii Tabia . Wakitoka twitt wanakuja JF Polite Language kwao ni zero 🚮 Click to expand... Aahaaaa
Dkisaka said: NAKAZIA, majobless na waalimu wanongoza Kwa hii Tabia . Wakitoka twitt wanakuja JF Polite Language kwao ni zero 🚮 Click to expand... Aahaaaa
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Jul 24, 2023 #44 Lugha mbaya si busara