Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
- Thread starter
- #21
Wewe unakwenda mbali Mkuu.Nina mashaka kuwa hata jiwe anaweza kuwa mgonjwa wa akili.
Wewe unakwenda mbali Mkuu.Nina mashaka kuwa hata jiwe anaweza kuwa mgonjwa wa akili.
Ni kweli Mkuu, Ila raisi ndo mwajiri Mkuu, sema kama anamfukuza kazi Ampe mafao yake afanye maisha mengine hata kimyakimyaHata mimi nina muheshimu sasa huoni anaingilia uhuru wa mahakama Waziri mwenye dhamana alichukua hatua stahiki za kumsimamisha kazi akimanisha kuwa yawezekana jamaa kapatwa na wenda wa zimu sasa yeye kaja na conclusion ndo maana rais wetu anaanza kuvuma kimataifa kwenye mambo ambayo yanaweza kuepukika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo Nani huyoKiranga njoo usikilize huku
Namuhita kama member mwenzangu pengine bado hajauona huu uzi
Jamaa yupi ?Ukisikia zile kauli za kujimwambafai za yule Jamaa , hapana yule sio chizi alichokua anakifanya anakijua
Sent using Jamii Forums mobile app
we acha mzee soon atakuja hapa niombee dua tu mzeeNdo Nani huyo
Ni kweli Mkuu, Ila raisi ndo mwajiri Mkuu, sema kama anamfukuza kazi Ampe mafao yake afanye maisha mengine hata kimyakimya
Kosea Kuoa Ila Siyo KuchaguaLaana ya nchi
😅😄😃🤣😂😁Nina mashaka kuwa hata jiwe anaweza kuwa mgonjwa wa akili.
Hata Mambo yapo wazi sema hayazingatiwiKweli jamaa GPS haikamati vizuri
HahahKosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua
Poa poa mkuuwe acha mzee soon atakuja hapa niombee dua tu mzee
Ni kweli kabisaaaaaKosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua