Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

Ni kweli Mkuu, Ila raisi ndo mwajiri Mkuu, sema kama anamfukuza kazi Ampe mafao yake afanye maisha mengine hata kimyakimya
 
Bado jamaa anatrend kusigina haki za binadamu bado wanamshutumu kuingilia uhuru wa mahakama juzi tena mbele ya camera kafanya yake we unafikili tunaelekea wapi. ifike pointi baadhi ya mambo aachie watendaji wake ili wayashughurikie kitaalamu.
Ni kweli Mkuu, Ila raisi ndo mwajiri Mkuu, sema kama anamfukuza kazi Ampe mafao yake afanye maisha mengine hata kimyakimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…