GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao.

Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi

Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa kutumia vikosi vya kigeni alafu nyie mnamchekea na kuendelea kumlinda.

Vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanganyika makabuli yenu tutayapiga fimbo na mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote.
 
Hayo yalikuwa ni yale tusemayo humu siku zote ni kwa Maslahi ya Taifa.

Usalama wa taifa una mwongozo mzima kuhusu kulinda maslahi ya taifa.

Na uhai wa raia wake ni moja ya mambo yaliyomo kwenye maslahu ya Taifa.
 
TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.

Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.

Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
 
..TISS ndio kiini cha mambo yote yanayotokea Tanzania, ni ajabu kufahamu JWTZ inawajibika kwa TISS!
 
TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.

Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.

Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
sifa yao na kazi yao kubwa ni kuteka raia hawana chochote wanachoweza labda kuvaa kaunda. suti
 
Lile shambulio dhidi ya hayati Anwar Sadat liliandaliwa na magaidi ya muslim brotherhood sasa sijui kwanini umeleta mfano huo
 
Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi

Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa kutumia vikosi vya kigeni alafu nyie mnamchekea na kuendelea kumlinda.

Vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanganyika makabuli yenu tutayapiga fimbo na mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote.
Katiba mpya ndio mwarobaini ya huu uchafu wa hili genge la Samia.
 
Lile shambulio dhidi ya hayati Anwar Sadat liliandaliwa na magaidi ya muslim brotherhood sasa sijui kwanini umeleta mfano huo
Wewe siku hizi inaonekana hueleweki, vijistatement vyako vingi vina mashaka
 
Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena
Unajua kama Mkapa nae sio Mzanzibari lakini aliuwa wa Zanzibar 2001?. Unajua Kikwete sio mzanzibar nae aliwauwa na kutumia cheo chake, kufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa kumtumilia Jecha na tume yake ya ZEC?.

Usitumie Utanganyika na Uzanzibar tumia lugha ya ccm, Samia peke yake hawezi kufanya haya bila ya baraka za mtandao wa wana ccm wote.
 
Unajua kama Mkapa nae sio Mzanzibari lakini aliuwa wa Zanzibar 2001?. Unajua Kikwete sio mzanzibar nae aliwauwa na kutumia cheo chake kufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa kumtumilia Jecha na tume yake ya ZEC?.

Usitumie Utanganyika na Uzanzibar tumia lugha ya ccm Samia peke yake hawezi kufanya haya bila ya baraka za mtandao wa wana ccm wote.
Mkuu, tunaposema uzanzibari na utanganyika, tunasaidiana ili wote tuwe huru kwa kuonesha, Muungano una hasara kubwa kuliko faida, maana sasa chuki inazidi hata kma amefanya samia kama samia au kikwete kama kikwete au mkapa kama mkapa ila kama tumefanyiziana kwenye ardhi isiyokuwa yako, chuki lazima ije kwenye sehemu unayotoka, na pengine ikatafsiriwa kama kisasi.

Kuepuka aya, katiba mpya ije, kila mtu abaki na nchi yake, tushirikiane tu kwenye biashara kama jumuiya ya afrika mashariki.
 
Nimekuelewa sana mkuu naunga mkono hoja. Hawa ccm kumfunga Tundu Lissu wamejua huyu bibi Fedhuli asingeweza kukabiliana nae kwenye kampeni kabisa.
 
Kabisa, tamaa ya mali na madaraka ikikuzidi, akili uwa haifanyi kazi…maana kwa akili ya kawaida, ukiangalia tu kwenye jamii unaona watu walivyokuwa wamemchoka, ishara za machafuko zote zilikuwa wazi….Mshauri wake Kikwete…cjui kama watatoboa ICC sio kwa picha zile.
 
TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.

Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.

Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
Unaumia kutoka wapi? Wabwege wenu wameshindwa, njoo wewe uwe from line kama hatutokushuhuliiia kenge wewe. Nilikuambia Raisi ataapishwa na ataongoza nchi Kwa Miaka 5 na ata decide Nani awe Rais ajae.. Kenge wewe...
 
Endeleeni na kiburi chenu nyie Wazanzibari.

Mmeona raha kutuua Watanganyika kwenye ardhi yetu ili mtutawale eeeh?

Usikimbie endelea kukaa hapa nitakushtua.
 
Back
Top Bottom