Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Uhai wa raia vijana siyo maslahi ya taifa?Hayo yalikuwa ni yale tusemayo humu siku zote ni kwa Maslahi ya Taifa.
Usalama wa taifa una mwongozo mzima kuhusu kulinda maslahi ya taifa.
Vyote vimo humo ndo maana Misri wakachukua hatua.Uhai wa raia vijana siyo maslahi ya taifa?
TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.Hayo yalikuwa ni yale tusemayo humu siku zote ni kwa Maslahi ya Taifa.
Usalama wa taifa una mwongozo mzima kuhusu kulinda maslahi ya taifa.
Na uhai wa raia wake ni moja ya mambo yaliyomo kwenye maslahu ya Taifa.
..TISS ndio kiini cha mambo yote yanayotokea Tanzania, ni ajabu kufahamu JWTZ inawajibika kwa TISS!TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.
Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.
Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
sifa yao na kazi yao kubwa ni kuteka raia hawana chochote wanachoweza labda kuvaa kaunda. sutiTISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.
Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.
Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
Katiba mpya ndio mwarobaini ya huu uchafu wa hili genge la Samia.Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi
Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa kutumia vikosi vya kigeni alafu nyie mnamchekea na kuendelea kumlinda.
Vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanganyika makabuli yenu tutayapiga fimbo na mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote.
Wewe siku hizi inaonekana hueleweki, vijistatement vyako vingi vina mashakaLile shambulio dhidi ya hayati Anwar Sadat liliandaliwa na magaidi ya muslim brotherhood sasa sijui kwanini umeleta mfano huo
Unajua kama Mkapa nae sio Mzanzibari lakini aliuwa wa Zanzibar 2001?. Unajua Kikwete sio mzanzibar nae aliwauwa na kutumia cheo chake, kufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa kumtumilia Jecha na tume yake ya ZEC?.Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena
Mkuu, tunaposema uzanzibari na utanganyika, tunasaidiana ili wote tuwe huru kwa kuonesha, Muungano una hasara kubwa kuliko faida, maana sasa chuki inazidi hata kma amefanya samia kama samia au kikwete kama kikwete au mkapa kama mkapa ila kama tumefanyiziana kwenye ardhi isiyokuwa yako, chuki lazima ije kwenye sehemu unayotoka, na pengine ikatafsiriwa kama kisasi.Unajua kama Mkapa nae sio Mzanzibari lakini aliuwa wa Zanzibar 2001?. Unajua Kikwete sio mzanzibar nae aliwauwa na kutumia cheo chake kufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa kumtumilia Jecha na tume yake ya ZEC?.
Usitumie Utanganyika na Uzanzibar tumia lugha ya ccm Samia peke yake hawezi kufanya haya bila ya baraka za mtandao wa wana ccm wote.
Nimekuelewa sana mkuu naunga mkono hoja. Hawa ccm kumfunga Tundu Lissu wamejua huyu bibi Fedhuli asingeweza kukabiliana nae kwenye kampeni kabisa.Mkuu, tunaposema uzanzibari na utanganyika, tunasaidiana ili wote tuwe huru kwa kuonesha, Muungano una hasara kubwa kuliko faida, maana sasa chuki inazidi hata kma amefanya samia kama samia au kikwete kama kikwete au mkapa kama mkapa ila kama tumefanyiziana kwenye ardhi isiyokuwa yako, chuki lazima ije kwenye sehemu unayotoka, na pengine ikatafsiriwa kama kisasi.
Kuepuka aya, katiba mpya ije, kila mtu abaki na nchi yake, tushirikiane tu kwenye biashara kama jumuiya ya afrika mashariki.
Kabisa, tamaa ya mali na madaraka ikikuzidi, akili uwa haifanyi kazi…maana kwa akili ya kawaida, ukiangalia tu kwenye jamii unaona watu walivyokuwa wamemchoka, ishara za machafuko zote zilikuwa wazi….Mshauri wake Kikwete…cjui kama watatoboa ICC sio kwa picha zile.Nimekuelewa sana mkuu naunga mkono hoja. Hawa ccm kumfunga Tundu Lissu wamejua huyu bibi Fedhuli asingeweza kukabiliana nae kwenye kampeni kabisa.
Wachoma nchi? Siyo maslahi ha Taifa.Uhai wa raia vijana siyo maslahi ya taifa?
Kama wewe ni ccm lazima wakuchomeeWachoma nchi? Siyo maslahi ha Taifa.
Kwa hizo dhana mlizowajaza, wakikutana na moto msitoe mlio.Kama wewe ni ccm lazima wakuchomee
Unaumia kutoka wapi? Wabwege wenu wameshindwa, njoo wewe uwe from line kama hatutokushuhuliiia kenge wewe. Nilikuambia Raisi ataapishwa na ataongoza nchi Kwa Miaka 5 na ata decide Nani awe Rais ajae.. Kenge wewe...TISS ndo taasisi ya hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa nchini. Hawa Mahakama, Polisi, Takukuru na DPP tunawasema sana kwa sababu tunajua mambo yao mengi ila kiuhalisia hakuna Taasisi ya hovyo nchi hii kama TISS.
Kama Samia akifanikiwa kuwa Rais kwa miaka mingine 5 JWTZ inaenda kuwa ya hovyo rasmi. Itakuwa compromised vibaya sana na ndo nchi inaenda kujifia rasmi.
Wenzetu wanajua sana kuzuia nchi zao kuwa failed states ila hapa Tanganyika wanaopewa dhamana ya kuhakikisha maslahi ya Tanganyika na uhai wao vinalindwa ndo wanawageuka Watanganyika kwa vipande vya fedha.
Endeleeni na kiburi chenu nyie Wazanzibari.Unaumia kutoka wapi? Wabwege wenu wameshindwa, njoo wewe uwe from line kama hatutokushuhuliiia kenge wewe. Nilikuambia Raisi ataapishwa na ataongoza nchi Kwa Miaka 5 na ata decide Nani awe Rais ajae.. Kenge wewe...