Mpishi wa haya yote na sterling tangu square A ni mchengrwa so atamtengenezea script tu kama zingine atakariri akasome!
Huyu ndiye anastahili kujibu yote itakapofika ICC hapo baadaye, ni suala la muda tu! Hamna aliyetegemea protest na muda wake ulipofika zikawa na sasa muda wa ICC utafika tu pia, damu zote zilizomwagika zitakua accounted hatimaye