Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Juzi kati hapa niliona sehemu wamarekani wanalalamika. Wabunge wao wanajihusisha na inside trading kwenye soko la hisa. Inaonekana kwa kutumia nafasi zao wanapata taarifa nyeti zinazowawezesha kufaidika na soko la hisa. Wakata waache kujihusisha na habari za soko la hisa.
Sasa hapa kwetu, hivi karibuni imeonekana kuwa kumbe wabunge na wanasiasa wengi wanajihusisha na biashara ya mafuta. Hawa watungasera bila shaka watatunga na kulobby sera zinazofaidisha biashara zao, na si wananchi waliowatuma/waliowaajiri.
Hii biashara ya mafuta imeenea kiasi gani kwa wabunge/wanasiasa?