Ni wachambuzi gani wa soka hapa bongo unawaelewa zaidi?

Ni wachambuzi gani wa soka hapa bongo unawaelewa zaidi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam
Screenshot_20250318-112652.png


Na huyu kijana aliepo east africa
Screenshot_20250318-112826.png


Atleast wapo logically and un-biased
 
Mchambuzi wa mpira mzur hapa Tanzania ni hamna wote wacha~mbuzi tu
 
Kuna hawa jamaa wa clouds fm, edger kibwana, yahya njenge, na wale wengine akina derick lissu wanafanya kipindi cha sports cha saa tatu usiku hadi saa tano usiku, pia yupo mbwiga mbwigika na mechi zake za kizamani
 
Back
Top Bottom