Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Mar 18, 2025 #1 Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam Na huyu kijana aliepo east africa Atleast wapo logically and un-biased
Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam Na huyu kijana aliepo east africa Atleast wapo logically and un-biased
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Mar 18, 2025 #2 Mchambuzi wa mpira mzur hapa Tanzania ni hamna wote wacha~mbuzi tu
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Mar 18, 2025 #3 Mchambuzi wa mpira mzur hapa Tanzania ni hamna wote wacha~mbuzi tu
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Mar 18, 2025 Thread starter #4 holoholo said: Mchambuzi wa mpira mzur hapa Tanzania ni hamna wote wacha~mbuzi tu Click to expand... πππππ ππΏππΏππΏππΏππΏ
holoholo said: Mchambuzi wa mpira mzur hapa Tanzania ni hamna wote wacha~mbuzi tu Click to expand... πππππ ππΏππΏππΏππΏππΏ
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,292 Reaction score 24,746 Mar 18, 2025 #5 Eli Cohen said: Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam View attachment 3274939 Na huyu kijana aliepo east africa View attachment 3274940 Atleast wapo logically and un-biased Click to expand... Huyundio nani kwa jina ???
Eli Cohen said: Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam View attachment 3274939 Na huyu kijana aliepo east africa View attachment 3274940 Atleast wapo logically and un-biased Click to expand... Huyundio nani kwa jina ???
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Mar 18, 2025 #6 Kuna hawa jamaa wa clouds fm, edger kibwana, yahya njenge, na wale wengine akina derick lissu wanafanya kipindi cha sports cha saa tatu usiku hadi saa tano usiku, pia yupo mbwiga mbwigika na mechi zake za kizamani
Kuna hawa jamaa wa clouds fm, edger kibwana, yahya njenge, na wale wengine akina derick lissu wanafanya kipindi cha sports cha saa tatu usiku hadi saa tano usiku, pia yupo mbwiga mbwigika na mechi zake za kizamani