Pre GE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".

Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.

Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
 
Hao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
 
Saa nane hii? Usiku huu? Nasubiri wachawi waje kunichukua nikawalimie kitambi kipungue
 
Makonda ndiyo mdomo na macho ya chama ni halali kwake kupita mitaani kuona ilani inatekelezwa?, na wananchi wanauonaje utekelezaji wa serekali yao,ikiwamo kuhoji pale palipokwama alimradi watanzania kero zao zinaondoka,kwa utaratibu wa Makonda The failure ministries must cry-out .
 
Wewe usiye mjinga nini kinakuwasha usiku huu kumfatilia Makonda?
 
Unakijua chama kinacho simamia serikali ?hivi msimamizi na anaye simamiwa nani mwenye mamlaka?unafikiri mawaziri ni wajinga kabisaa kumsikiliza makonda na wanapenda kuhojiwa na mtu asiye na mamlaka?wewe ndio unazo akili kuliko mawaziri wote wanaosimama na kujibu maswali na hoja za ndg.Makonda? Ukimaliza kujibu hayo jifunze kunyamaza ujuaji usio na faida haukufikishi popote.
 
waerevu wamezidiwa mambo mengi sana na huyu mjamaa,
na wanaumia kweli kweli 🤣kijana akichanja mbuga,

na kwa ubunifu wa kiwango cha juu sana zaid yao, kijana amekua
akitatua kero za wananchi, akiagiza utekelezaji na ukamilishwaji wa miradi iliyosimama, akihoji na kuonyesha njia ya kutatua changamoto mbalimbali za kisekta maeneo mbalimbali nchini na hili linawakera zaid waerevu dah 🐒

kama una gubu huwezi mpenda mtu wa aina hii hata kidogo 🤓
 
Siku zote mjinga yeyote hucheza na Wajinga wenzake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Sawa sawa sisi tulio wengi ni wapumbavu sana!! Nyie wawili watatu ndio wenye akili!!
 
Kalewa Konyagi huyu mpumbavu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…