Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Cc: Lucas mwashambwaHao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: Lucas mwashambwaHao wanaomwona kuwa ni jembe ndio ninaowaita wapumbavu
Unateseka ukiwa wapi wewe goroko?Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Lazima uwe punguani sana kusifia michezo ya kuigiza. Makonda is good for the fools.Wenzio hawaoni kama ni drama... wanaona anafanya matendo yaliyotukuka kuwatumikia wananchi.
Imefikia hata wengine kuona eti anafaa kuwa PM au hata Rais kwa sababu eti ana uthubutu wa kuwahoji vingozi hata mawaziri hadharani.
Anyway time will tell...
Ujasiri wa kutenda maovu. Makonda alikuwa anajua kuwa kuua ni kosa, kuteka, kutesa na kupoteza watu ni uharamia, lakini bado aliyatenda na kuyasimamia hayo yote bila hofu kwa sababu shetani anayemtegemea yupo ndani yake. Hakika ana ujasiri.Bwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Kazi unayo, siku kucha unahahaNarudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Unakijua chama kinacho simamia serikali ?hivi msimamizi na anaye simamiwa nani mwenye mamlaka?unafikiri mawaziri ni wajinga kabisaa kumsikiliza makonda na wanapenda kuhojiwa na mtu asiye na mamlaka?wewe ndio unazo akili kuliko mawaziri wote wanaosimama na kujibu maswali na hoja za ndg.Makonda? Ukimaliza kujibu hayo jifunze kunyamaza ujuaji usio na faida haukufikishi popote.
Na Makonda amewateka punguani wengi sana.Siku zote mjinga yeyote hucheza na Wajinga wenzake
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Wapumbavu mtakuwa wachache ila wajinga ni wengi sana.Sawa sawa sisi tulio wengi ni wapumbavu sana!! Nyie wawili watatu ndio wenye akili!!
Siku utakayopata akili ukatofautisha maneno haya mawili utafanikiwa (1)INAPASWA KUWA (2)JINSI ILIVYO. Unaandika THEORIES wakati sisi tunaishi kwenye PRACTICAL. Kila la kheri.Wewe huna uelewa hata kibaba. Huelewi maana ya chama kusimamia Serikali. Kwa ufinyu wa uelewa wako unadhani viongozi wa chama wanakuwa wasimamizi wa watendaji wa Serikali!! Hopeless kabisa.
Maana ya chama kusimamia Serikali. Ni kwamba Rais ndiye kiongozi mkuu wa Serikali, ndiye anayewajibika kwenye chama. Jambo lolote lisipoenda sawa au mtendaji wa Serikali akitenda ndivyo sivyo, chama kinamtask Rais maana ndiye chama kilimwombea kura kwa wananchi.
Lakini viongozi wengine wote wateule wa Rais, wanawajibika kwa Rais, siyo kwa chama. Watendaji wa Serikali wanawajibika kwenye mamlaka zao za ajira, siyo kwa chama. Chama kisiporidhika na utendaji wa mtendaji fulani wa Serikali, malalamiko yao yanaenda kwa Rais, Rais ataitask mamlaka ya ajira au ya uteuzi ya huyo mtendaji wa Serikali.
Makonda kwa kuwa ana akili ndogo, anategemea zake maguvu kuliko akili, anapuyanga tu kwa vile haelewi chochote.