Pre GE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unateseka ukiwa wapi wewe goroko?
 
Reactions: Tui
Kwanini mnaweweseka kama kazi anayofanya Makonda haina tija well and good itafanya nyie mfanikiwe.Haiwasaidii mnapotukana wananchi wenye kero zao kwa kuwaita wapumbavu wakati ndio wapiga kura.
Mnategemea vipi kuwarudia hao mnawaita wapumbavu na kuwashawishi wawapigie kura?
 
Lazima uwe punguani sana kusifia michezo ya kuigiza. Makonda is good for the fools.
 
Bwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Ujasiri wa kutenda maovu. Makonda alikuwa anajua kuwa kuua ni kosa, kuteka, kutesa na kupoteza watu ni uharamia, lakini bado aliyatenda na kuyasimamia hayo yote bila hofu kwa sababu shetani anayemtegemea yupo ndani yake. Hakika ana ujasiri.

Kama tunataka mtu mwenye sifa ya ujasiri pekee, tukamtafute toka kundi la majambazi. Majambazi yana ujasiri wa kupindukia. Maana yanajua kuwa yanaweza kuuawa, yanaweza kukamatwa na kutiwa jela, lakini bado yanaenda kufanya ujambazi. Ni ujasiri wa ajabu.
 
Huyu mleta mada, hata asingefanya chochote, ni bora mara 1,000 kuliko jambazi Makonda linalotembea na damu za watu mikononi mwake.

Nina imani mleta mada hajawahi kumteka mtu, hajawahi kumtesa au kumpoteza yeyote. Makonda jitu haramia, ni shetani linalowaokota akili punguani wenzake.

RIP Ben Sanane, Azory Gwanda. Damu zenu huyu muuaji kuna siku asiyoijua atazilipa.

Pole san Tundu Lisu, huyu aliyesimamia zoezi la kuondoa uhai wako, hakika kuna siku atalipwa sawasawa na ushetani wake.

Makonda ni haramu. Muuaji yeyote ni haramu kwa kila binadamu halisia.
 
K
Kazi unayo, siku kucha unahaha
 

Wewe huna uelewa hata kibaba. Huelewi maana ya chama kusimamia Serikali. Kwa ufinyu wa uelewa wako unadhani viongozi wa chama wanakuwa wasimamizi wa watendaji wa Serikali!! Hopeless kabisa.

Maana ya chama kusimamia Serikali. Ni kwamba Rais ndiye kiongozi mkuu wa Serikali, ndiye anayewajibika kwenye chama. Jambo lolote lisipoenda sawa au mtendaji wa Serikali akitenda ndivyo sivyo, chama kinamtask Rais maana ndiye chama kilimwombea kura kwa wananchi.

Lakini viongozi wengine wote wateule wa Rais, wanawajibika kwa Rais, siyo kwa chama. Watendaji wa Serikali wanawajibika kwenye mamlaka zao za ajira, siyo kwa chama. Chama kisiporidhika na utendaji wa mtendaji fulani wa Serikali, malalamiko yao yanaenda kwa Rais, Rais ataitask mamlaka ya ajira au ya uteuzi ya huyo mtendaji wa Serikali.

Makonda kwa kuwa ana akili ndogo, anategemea zake maguvu kuliko akili, anapuyanga tu kwa vile haelewi chochote.
 
Siku utakayopata akili ukatofautisha maneno haya mawili utafanikiwa (1)INAPASWA KUWA (2)JINSI ILIVYO. Unaandika THEORIES wakati sisi tunaishi kwenye PRACTICAL. Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…