Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ?

Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi makamu wa Rais ni mtiifu kwa Rais sema wameamua kuwapa kile mnachokipenda walio wengi ndo mnachopewa Jk kiboko
 
Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi makamu wa Rais ni mtiifu kwa Rais sema wameamua kuwapa kile mnachokipenda walio wengi ndo mnachopewa Jk kiboko
Uko sahihi! Hata wakigombana itakuwa mambo yao ya ndani
 
Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi makamu wa Rais ni mtiifu kwa Rais sema wameamua kuwapa kile mnachokipenda walio wengi ndo mnachopewa Jk kiboko
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Polepole aliwahi kusema, Samia alikua hamtaki nchimbi kuwa makamu wake ila ni kama alilazimishiwa.

Hatujui ni nani alimlazimishia ila mimi pia nina wasiwasi hawa wanatuchezea akili.
Nchimbi aliwekwa na CCM maadili
 
Watu wanashtuka mapema na Kufanya maamuzi, Ugomvi unaweza kuwepo ukikaa kiboya unatumika kama Toilet paper

Kuelekea uchaguzi wa 2025 alibuka Naibu Waziri mkuu ambae ni doto mashaka ili akadanganye kundi kubwa la Wapiga kura kuhusu SSH, Leo uchaguzi umeisha dotto katupwa nje uko Hana kazi tena
 
Back
Top Bottom