Uko sahihi! Hata wakigombana itakuwa mambo yao ya ndaniNi wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi makamu wa Rais ni mtiifu kwa Rais sema wameamua kuwapa kile mnachokipenda walio wengi ndo mnachopewa Jk kiboko
Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi makamu wa Rais ni mtiifu kwa Rais sema wameamua kuwapa kile mnachokipenda walio wengi ndo mnachopewa Jk kiboko
Ndiyo maana nimesema hadi wauane kabisa ndiyo nitaamini kama wanahasimiana.Saahau ilo
Hiyo CCM maadili ina nguvu kuliko mwenyekiti wa CCM Taifa?Nchimbi aliwekwa na CCM maadili
Kwamba October 29 hiyo CCM maadili ilifanya nini?Ndio wakiamua wewe ukuona October 29
Kichwa chenyewe kina Kb chache sana hiki. Nisaidie tu mkuuMkuu tuliza akili kidogo utapata majibu