Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

Yaani wapinzani wasije wakaingizwa mkenge, wanaweza wakapokea hao matapeli kama walivyompokea Lowassa.
Upinzani wana IQ ndogo sana sioni sababu ya wao kushupalia suala Nchimbi wakati Lissu yuko jela
 
CCM ni Waarabu wa Pemba. Ila kuwaombea mabaya pia ni wajibu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…