Ni wajinga wachache wanaoamini kuwa Diamond platnumz ananunua tuzo na views za Youtube

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
667
Reaction score
1,850
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua views youtube

Twende na facts kuujua ukweli

>Diamond ana followers milioni 3 instagram ,

Youtube ana subscibers 422,320

Facebook ana followers milioni 1.5

Twitter ana followers 350,000

Mfano kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube

, tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama

>Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.

Facebook na twitter nako hivo hivyo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views

Na hivyohivyo Baada ya Davido kuwa na followers 3.2 million katika instagram

Diamond anashika nafasi ya pili kwa kuwa na folloewrs 3.0 million

So kwa Africa diamond platnumz ni mtu wa pili kuwa na followers wengi instagram

Sasa mnawezaje kusema huyu kaka ananunua Tuzo na views za youtube?

Ni wajinga wachache tu ndio watakaoamini!
 
Si amesema alikataa sijui kuwapumulia😡😡😡😡😡😡
 
Wema sepetu na Shilole wana followers wengi kuzidi yule mfalme wa kariakoo,
 

Wajinga ndo wanaamini kuwa ananunua viewers lakini werevu tuko nae ktk kutangaza mziki wetu
 
Baadhi ya followers (FACEBOOK)
*Tamer hosny 18,584,994
*psquare. 4,678,207
*davido 3,237,836
*lupita nyong'o 2,917,051
*diamond platnumz 1,795,859
Bado unaendeleza ngumi za watoto,kwa E.A ni DIAMOND PLATNUMZ NDIO ANAONGOZA hata kama humpendi ndio yeye anayewaburuza kwenye kila kitu. Au kama vipi nitajie kitu kimoja tu,ambacho Alikiba anaongoza kwa TZ ambacho MOND HANA/HAJAKIFANYA ??
 
Bado unaendeleza ngumi za watoto,kwa E.A ni DIAMOND PLATNUMZ NDIO ANAONGOZA hata kama humpendi ndio yeye anayewaburuza kwenye kila kitu. Au kama vipi nitajie kitu kimoja tu,ambacho Alikiba anaongoza kwa TZ ambacho MOND HANA/HAJAKIFANYA ??
Mleta uzi angezungumzia hapa hapa Tz ingekuwa hakuna tatizo, yeye amegusia kidogo kwa Africa nzima ndo nikawa namthibitishia wapo wengine mkuu.
*kwa Tz hakuna anaemfikia diamond kwa followers
Lupita mtoe...hapo
Lupita nyong'o namtoa sawa, vipi kuhusu na hawa hapa
*omotola jalade 3,368,562
*genevieve nnaji 2,463,868
*diamond platnumz 1,795,859
 
samahani! hivi hao uliowataja ndio wanamziki gani? wameimba nyimbo gani? nikumbushe kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…