bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua views youtube
Twende na facts kuujua ukweli
>Diamond ana followers milioni 3 instagram ,
Youtube ana subscibers 422,320
Facebook ana followers milioni 1.5
Twitter ana followers 350,000
Mfano kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube
, tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama
>Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.
Facebook na twitter nako hivo hivyo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views
Na hivyohivyo Baada ya Davido kuwa na followers 3.2 million katika instagram
Diamond anashika nafasi ya pili kwa kuwa na folloewrs 3.0 million
So kwa Africa diamond platnumz ni mtu wa pili kuwa na followers wengi instagram
Sasa mnawezaje kusema huyu kaka ananunua Tuzo na views za youtube?
Ni wajinga wachache tu ndio watakaoamini!