Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwani wewe unaye uliza hilo swali una miaka mingapi? ni Mwanamme au ni Mwanamke?cc kukumdogoKumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums