Ni wakaka tatizo au wadada wenyewe?

Ni wakaka tatizo au wadada wenyewe?

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Kumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

All of the above
 
Kula na kulala bila mazoezi/kazi za nguvu huchangia kwa kiasi kikubwa.
 
Malalamiko yamezidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii inategemea kwa pande zote mbili, wadada wengi wanaanza kale kamchezo wakiwa Std 3, sasa weka kila level ya elimu ametembea na madume manne na mdada huyo kafika chuo, kwa uchache utapata madume16! Hii ndio hali tulionayo kwa madada zetu, hapo hata ukae juu masaa mawili hasikii kitu. Nature ya kazi inachangia kwa wanaume, wengi wanaolalamika ni white collar job, geuzeni na ukanda muende kwa makuli, kuanzia asubuhi hadi jioni ni mazoezi! Waweza sahau kudai chako
 
Kumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwani wewe unaye uliza hilo swali una miaka mingapi? ni Mwanamme au ni Mwanamke?cc kukumdogo
 
Last edited by a moderator:
this all caused due to lack of exercise!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom