Ni no 9 mkuuMwamba hiyo namba 8 hapo alizengua sana angeacha tu miaka 20 ilikuwa inatosha kabisa na imekuwa chanzo cha haya yote.
3,7,8 na 9Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.
Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.
Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.
1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.
Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Yapi hayoAliposhindwa kuhudhuria mazishi ya Rais wa JMT
Toka alipompokea Lowassa sikuwa na imani naye tena, na msimamo wangu uko wazi hapa jukwaani toka wakati huo. Na mengi yaliyo kwenye orodha yako ya ukweli mkubwa.Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.
Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.
Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.
1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.
Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Mazishi ya Shujaa Magufuli 🐼Yapi hayo
Ningemdharau kama angehudhiria mazishi ya shetani.Aliposhindwa kuhudhuria mazishi ya Rais wa JMT
Nahisi alitaka amuachie mtoto wake.Mimi najiuliza alikuwa anataka kuachia chama baada ya Miaka mingapi?
Aibu sanaNahisi alitaka amuachie mtoto wake.
Hujui protocol nimekupuuzaNingemdharau kama angehudhiria mazishi ya shetani.
Hii ndio ilinimaliza kabisaNi no 9 mkuu