Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

Miaka mingi sana kabla hata ZZK hajaondoka CDM, na shida ya ZZK na FM ilikuwa ni maslahi.
FM alimzunguka ZZK kwenye biashara ya EL maana ilianza kitambo kabla EL hajatoka CCM wala kukatwa Dom.
Mapema sana EL na kundi lake plan B ilikuwa CDM kumtisha JK.

Sijui kwanini watu walishindwa kulielewa hili hata baada ya kuwekwa humu zamani sana miaka ya 2012 huko nafikiri.
Shida ya watanzania tunaongozwa sana na ushabiki kiasi cha kushindwa kutumia akili kwenye mambo yanayohitaji akili.
 
Watanzania tunatatizo la kuchelewa sana kuyajua mambo hata kama Kuna signs zote hatari zinazoasshiria jambo husika.

Mfano ni ngumu sana sasa hivi ukimwambia mwana CCM oyaoya kama CCM imetekwa ni mali ya watu fulani invisibles na ambao pia wameiteka na nchi pamoja na mifumo yake yote.

Ni ngumu pia kumwambia mtanzania oyaoya kuwa hizi SIMBA na YANGA + TFF ni mali ya Chama na Serikali kwa maslahi ya chama na Serikali nia kubwa ni kufanya manipulation kwa watanzania na mnachopaswa kujua watanzania hizi team zinachukua gharama kuuubwa sana ya watanzania kuanzia hela na muda.
 
Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.

Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.

Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.

1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.

Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Kauli zake za kung'ata kisha kupuliza
 
1-9 ni sahihi.
 
Umeiacha sababu yenyewe:

Alipoifanya chadema kuwa CCM B:

[/URL]

Hayo mengine yote yalikuwa ni yatokanayo tu.
 
Kwanza nianze na mazuri yake, halafu nitamalizia na madhaifu/mapungufu yake.

Mazuri yake:-
1. Mbowe ni Kiongozi mpambanaji
2. Ameleta hamasa kubwa sana ndani ya CHADEMA na hasa kwa sisi wapenda mabadiliko, tangu alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama.
3. Ameijenga CHADEMA kiasi cha kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini, na hivyo kuvivpiku vyama vikuu vya wakati wake! Mfano NCCR - Mageuzi na CUF.

Madhaifu/Mapungufu yake:-
1. Alikifanya CHADEMA kuwa na muonekano wa kikabila/Kikanda, baada tu ya kuendekeza uteuzi wa wasaidizi wake wengi kutoka Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha.
2. Mbowe ukiondoa kuwa Mwanasiasa, pia ni Mfanyabiashara! Na siku zote Mfanyabiashara hujali zaidi faida kuliko hasara! Na hapa ndipo alipo tuchelewesha wapenda mabadiliko wengi kwa sababu muda mwingi aliegemea kwenye maridhiano yenye maslahi kwake na watu wake, kuliko wananchi walio wengi.
3. Kun'gang'ania madaraka hata baada ya vipindi vyake viwili vya uongozi kutamatika! Na hapa kwa upande wangu ndiyo sehemu pekee iliyonifanya nipoteze imani kwake.
4. Kuigeuza CHADEMA kuwa mali yake binafsi na pia CHAWA wake akina Benson Kigaila, John Mrema, na wengineo wengi!
5. Kutafuna/kufuja hela za wafadhili wa nje na ndani ya nchi, na ambazo zilitakiwa kutumika kukijenga chama mfanom kujengea ofisi kuu na zile za Mikoani, nk. Na badala yake hizo fedha zikatumika kufanyia oparesheni zisizoisha, na zisizo na tija. Mfano oparesheni Sangara, oparesheni Ukuta, nk.
 
Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.

Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.

Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.

1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.

Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Siku nyingi sana alipomleta lowasa
 
Kwenye ishu ya Lowasa jamaa alikuwa anakula kotekote, mchana yuko na Lowasa usiku yuko na akina Mwigulu kwa niaba ya JK.
Issue ya Ben saanane, alikua anajua kila kitu lakini aliuchuna sana. Haiwezekani msaidizi wako akatekwa na kuuwawa alafu usipige kelele na kutumia nguvu kuiwajibisha serikali
 
Alisema akifikisha miaka 68 ndiyo angetoka!
2019 alisema 2024 ndio mwisho kwake kuwa mwenyekiti. Huwa anakua na hizo hadaa kila mara. Huyo hiyo biashara ya siasa hawezi kuacha, ukitaka kujua basi ni Sasa hivi kwa nn anaenda tena chauma wakati alitangaza anapumzika na kwenda kufanya biashara zake
 
Mbowe ni Mtu wa Mfumo toka zamani sana,alikuwa anapiga pesa na Madalali wengine kutoka serikali na ndio maana alipoingia Magu akagundua kumbe hii nchi inachezewa na hawa Wapuuzi wanao jiita wapinzani kumbe ni opportunists……….akaanza kulala nao mbele

Tundu Lissu alipotaka kum-replace Jamaa hataki,anajiona yeye ndio Ana Maarifa sana kuliko mtu yoyote pale CHADEMA

Jamaa Mungu anamuona anachofanya
Magu alijua utapeli wa Mbowe mapema kwamba wanazuga wananchi ndo maana akaona Upinzani ni wapiga dili na watawala
 
Watanzania tunatatizo la kuchelewa sana kuyajua mambo hata kama Kuna signs zote hatari zinazoasshiria jambo husika.

Mfano ni ngumu sana sasa hivi ukimwambia mwana CCM oyaoya kama CCM imetekwa ni mali ya watu fulani invisibles na ambao pia wameiteka na nchi pamoja na mifumo yake yote.

Ni ngumu pia kumwambia mtanzania oyaoya kuwa hizi SIMBA na YANGA + TFF ni mali ya Chama na Serikali kwa maslahi ya chama na Serikali nia kubwa ni kufanya manipulation kwa watanzania na mnachopaswa kujua watanzania hizi team zinachukua gharama kuuubwa sana ya watanzania kuanzia hela na muda.
Sure
 
Kwenye kampeni za kuwania Uenyekiti, Ndipo niliyajua madudu yake na kuacha kumuamini
 
Back
Top Bottom