Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Alisema akifikisha miaka 68 ndiyo angetoka!Mimi najiuliza alikuwa anataka kuachia chama baada ya Miaka mingapi?
Kauli zake za kung'ata kisha kupulizaFreeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.
Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.
Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.
1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.
Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Hamna protocal kwa shetani.Hujui protocol nimekupuuza
Ila mbowe ni mtu wa serikali anaelewa hili
Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Akifa au akizeeka sana.Mimi najiuliza alikuwa anataka kuachia chama baada ya Miaka mingapi?

Shujaa wa nyoko?Mazishi ya Shujaa Magufuli 🐼
Huyu Mzee wangu angesamehe Tu na kusonga mbele Kwa kujenga chama alichokitumikia Kwa Miaka mingiAlisema akifikisha miaka 68 ndiyo angetoka!
Wengi wetu huwa hatujui kuwa mwendokasi wa gari ndiyo huwa mwendo wa sisi tuliomo ndani ya basi hata kama sisi tutakuwa tumekaa kwenye viti hatuzunguki kama matairi!Huyu Mzee wangu angesamehe Tu na kusonga mbele Kwa kujenga chama alichokitumikia Kwa Miaka mingi
Siku nyingi sana alipomleta lowasaFreeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.
Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni tamaa, umiliki au haoni mtu sahihi wa kukiongoza.
Wewe binafsi ni wakati gani ulianza kuushitukia uongozi wake ndani ya Chadema.
1. Wakati alipomkaribisha Lowassa na kumuachia nafasi ya kugombea urais.
2. Kwenda moja kwa moja ikulu badala ya ofisi za chama mara baada ya kutoka gerezani.
3. Ishu ya utata ya wabunge wa covid 19 kuingia bungeni.
4. Kumkaribisha Samia kwenye kongamano la BAWACHA, kumpongeza na kumkabidhi tuzo.
5. Siku alipoiongoza Kamati kuu kwenda ikulu kuonana na Kikwete.
6. Kushiriki maridhiano na yeye kuwa mnufaika binafsi wa maridhiano hayo.
7. Kutokuwa muwazi kwenye mapato na matumizi ya mali za chama.
8. Kukifanya chama kama mali yake na kukumbatia umangimeza.
9. Kung'ang'ania madaraka (Mkiti) kwa kipindi kirefu, alimfukuza Zitto leo anagombana na Lissu.
Ni jambo lipi lilikufanya utoe imani kwake na kusema bora apumuzike.
Issue ya Ben saanane, alikua anajua kila kitu lakini aliuchuna sana. Haiwezekani msaidizi wako akatekwa na kuuwawa alafu usipige kelele na kutumia nguvu kuiwajibisha serikaliKwenye ishu ya Lowasa jamaa alikuwa anakula kotekote, mchana yuko na Lowasa usiku yuko na akina Mwigulu kwa niaba ya JK.
2019 alisema 2024 ndio mwisho kwake kuwa mwenyekiti. Huwa anakua na hizo hadaa kila mara. Huyo hiyo biashara ya siasa hawezi kuacha, ukitaka kujua basi ni Sasa hivi kwa nn anaenda tena chauma wakati alitangaza anapumzika na kwenda kufanya biashara zakeAlisema akifikisha miaka 68 ndiyo angetoka!
Magu alijua utapeli wa Mbowe mapema kwamba wanazuga wananchi ndo maana akaona Upinzani ni wapiga dili na watawalaMbowe ni Mtu wa Mfumo toka zamani sana,alikuwa anapiga pesa na Madalali wengine kutoka serikali na ndio maana alipoingia Magu akagundua kumbe hii nchi inachezewa na hawa Wapuuzi wanao jiita wapinzani kumbe ni opportunists……….akaanza kulala nao mbele
Tundu Lissu alipotaka kum-replace Jamaa hataki,anajiona yeye ndio Ana Maarifa sana kuliko mtu yoyote pale CHADEMA
Jamaa Mungu anamuona anachofanya
SureWatanzania tunatatizo la kuchelewa sana kuyajua mambo hata kama Kuna signs zote hatari zinazoasshiria jambo husika.
Mfano ni ngumu sana sasa hivi ukimwambia mwana CCM oyaoya kama CCM imetekwa ni mali ya watu fulani invisibles na ambao pia wameiteka na nchi pamoja na mifumo yake yote.
Ni ngumu pia kumwambia mtanzania oyaoya kuwa hizi SIMBA na YANGA + TFF ni mali ya Chama na Serikali kwa maslahi ya chama na Serikali nia kubwa ni kufanya manipulation kwa watanzania na mnachopaswa kujua watanzania hizi team zinachukua gharama kuuubwa sana ya watanzania kuanzia hela na muda.