Ni wakati gani uliwahi kuwa na furaha zaidi na hutoisahau?

View attachment 1125108

Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu.

Karibuni
Aisee binafsi kwangu ilikuwa kipindi ambacho i was in love na msichana ambaye tulipendana saana yan i was sooo happy saut yake tu hata kama nilikuwa nimekasirika vp ntafurah tu daah sitosahau actualy it was a gud love,peace and full of happyness!!
 
bado mko wote mkuu?
 
Wema sepede alipo reply comment yangu"I lov u too"baada ya kumwambia Nampenda laana.
 
Kila siku huwa nina furaha, ila furaha yangu huzidi pale nimpendae anaponipigia simu!
 
Siku niliyopata mshahara wa serikali kwa Mara ya kwanza kwa hasira nikaukomba wote
 
Siku niliyoendesha gari...nilifurahi sana maana ilikuwa my first amd last time.. [emoji16][emoji16]it was 2015 hukoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…